ā
Umeukwachu wangu moyoSasa mwenzio nina choyoMapenzi yamenifanya boyoNayo nafsi kaufuata moyoNizungushe angani kama piaMaana kwako ndiko nakwamiaManeno mengi utayasikiaChunga wasije kuharibia
Leave a comment