ā
Habibi, uchome moyo wakoGharama za matibabu juu yanguSio kawaida tabia yanguNi msukumo wa hisia zanguUmenifanya mtunziMashairi nakuandikiaMtima nao umeuiridhiNi wewe ua la waridiKatu hutopata mwenza
Leave a comment