Aya

Yalivyonifanyia mapenzi
Ni siri yangu mimi na mwenye enzi
Kila kukicha mi ndo wa kuyasujudu
Staki tena kuirudia hali ya kuyaabudu
Maana nishaishiwa na nguvu
Yamechukua nafsi vipi nidanganye
Nizame kila siku kwenye mapenzi nikwame
Kuparamia paramia naomba nikome
Mwenzenu nawaambia mapenzi mwiba
Ukikupata mwanangu hauna tiba

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started