Safari yangu ni mali yangu
Lakini Yale niliyo yapitia
Siwezi tena kuyarudia
Machozi na machungu yangu
Ni Yale yaliyonifunza yameshanielimisha
Kutembea nami nitatembea
Safari yangu bado yaendelea
Macho yangu nimeshayafungua
Nasonga mbele na sirudi nyuma
Maishani mwangu pingu weka mbali