←
Ninajua mchakato unaumaIla ndio hujenga ushuhudaKwa hivyo sina budiIla kukubaliana na haliNikijua kuna ushindiMwisho wa safariMaana MUNGU wangu si tapeliSina mashaka na YeyeBado Namwamini
Have a WordPress.com account? Log in now.
Leave a comment